POLISI WAKAMATA MAHOUSE GIRL KUMI NA TANO
 Zaidi bofya link hii jeshi-la-polisi-lanasa-mahausigeli

Jeshi
 la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata wasichana 15 
katika nyumba iliyopo maeneo ya Ukonga, waliokuwa tayari kusafirishwa 
kwenda Oman kufanya kazi za ndani.
Akizungumza
 na waandishi wa habari jana, Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi wa kanda
 hiyo, Simon Sirro, alisema wasichana hao walikamatwa baada ya Polisi 
kupata taarifa toka kwa msiri kuwa kuna mtu amewaweka wasichana kwa 
ajili ya kuwasafirisha.
Sirro
 alisema Polisi walifuatilia na kufika katika eneo hilo na kufanikiwa 
kuwakuta katika nyumba ya Hadija Mohamed (40) wakiwa wamegawanywa katika
 vyumba viwili.
Alisema
 uchunguzi wa awali, umebaini kuwa mwanamke huyo anashirikiana na 
mwenzake Salma Habibu (43) mkazi wa Temeke kuwatafutia masoko nchini 
Oman na wao ni mawakala wanaoletewa kutoka mikoani na kuwapokea kwa 
ajili ya kuwasafirisha.
Aidha alisema watuhumiwa hao watapelekwa mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake.
Pia
 ametoa onyo kwa watu wenye tabia hiyo kuacha, kwani wasichana hao 
wakifikishwa nje ya nchi hufanyiwa vitendo vya kikatili na unyanyasaji.
Katika
 tukio jingine, Polisi kanda hiyo imewakamata vijana 75, ikiwa ni 
muendelezo wa msako wa vijana wanaofanya matukio ya wizi wa majumbani 
nyakati za usiku.
- See more at: http://edwinmoshi.blogspot.com/2016/05/jeshi-la-polisi-lanasa-mahausigeli-15.html#sthash.aoDXHKgb.Thux25Ek.dpufJeshi La Polisi Lanasa Mahausigeli 15 Waliokuwa Wakipelekwa Oman
Jeshi
 la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata wasichana 15 
katika nyumba iliyopo maeneo ya Ukonga, waliokuwa tayari kusafirishwa 
kwenda Oman kufanya kazi za ndani.
Akizungumza
 na waandishi wa habari jana, Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi wa kanda
 hiyo, Simon Sirro, alisema wasichana hao walikamatwa baada ya Polisi 
kupata taarifa toka kwa msiri kuwa kuna mtu amewaweka wasichana kwa 
ajili ya kuwasafirisha.
Sirro
 alisema Polisi walifuatilia na kufika katika eneo hilo na kufanikiwa 
kuwakuta katika nyumba ya Hadija Mohamed (40) wakiwa wamegawanywa katika
 vyumba viwili.
Alisema
 uchunguzi wa awali, umebaini kuwa mwanamke huyo anashirikiana na 
mwenzake Salma Habibu (43) mkazi wa Temeke kuwatafutia masoko nchini 
Oman na wao ni mawakala wanaoletewa kutoka mikoani na kuwapokea kwa 
ajili ya kuwasafirisha.
Aidha alisema watuhumiwa hao watapelekwa mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake.
Pia
 ametoa onyo kwa watu wenye tabia hiyo kuacha, kwani wasichana hao 
wakifikishwa nje ya nchi hufanyiwa vitendo vya kikatili na unyanyasaji.
Katika
 tukio jingine, Polisi kanda hiyo imewakamata vijana 75, ikiwa ni 
muendelezo wa msako wa vijana wanaofanya matukio ya wizi wa majumbani 
nyakati za usiku.
Jeshi La Polisi Lanasa Mahausigeli 15 Waliokuwa Wakipelekwa Oman