RONALDO MZIGONI KWAAJILI YA CITY
.
CR7 amerejea mozoezini kwaajili ya kujiandaa kuwakabiri man city, hii ni baada ya kukosa mechi ya kwanza kwa maumivu ya nyama za paja. kitengo cha matibabu kilifanya juu chini kuhakikisha anacheza mechi ya marudiano na cityzaidi bofya hapa Cristiano-Ronaldo-training-Real-Madrid-star-bids-fit-crunch-Champions-League-clash-Manchester-City.html
0 comments: