HARAKATI ZA JANUARY MAKAMBA KUGOMBEA URAISI 2015??
     
     
      
    
        Katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2015, Mh. January 
Makamba (Mb) na naibu waziri wa teknologia na mawasiliano amefunguliwa 
account iliyoanza kufanya kampeni, Imesemekana kuwa Mh. Makamba 
atatimiza vigezo vyote vinavyo takiwa kikatiba kulingana na katiba mpya 
ambayo iko mbioni na inategemewa kutumika mwaka 2015

      
 NA VIJAKAZI
 
 
 
 
 
 
 
0 comments: