MSIKIE LULU: ETI ADAI KUWA KWA SASA HATESWI TENA NA MAREHEMU KANUMBA
...................
ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kwa sasa hateswi na
kumbukumbu ya tukio la marehemu Steven Kanumba kama ilivyokuwa zamani.
Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Alipobanwa kuhusu kusumbuliwa na Kanumba aliyekuwa mpenzi wake, Lulu alisema:
“Imeshapita muda mrefu sasa, kama binadamu namkumbuka lakini siyo kama
kipindi kile, ilikuwa picha ikinirudia mara kwa mara, hata hivyo sipendi
sana kuzungumzia haya,” alisema.STEVE NYERERE: LUPITA
Marehemu Steven Kanumba
credit to eddy
GIVE YOUR OPINIONS HERE
0 comments: