MAISHA YANASHANGAZA SANA soma hapa
1:Unachokitaka hukipati, (MAPENZI)
2:Unachokipata hukifurahii (NDOA)
3:Kikufurahishacho hakidumu (BOY/GIRLFRIEND)
4:Kinachodumu kinakera (MME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha (PESA)
6.Kidhalilishacho kinapendwa (UZINZI)
7.Kinachoogopwa hakina maandalizi
(KIFO)
8.Kinchoandaliwa hakiendelei (MAISHA)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi (IBADA)
10.Vinavyofuatwa havina Maana (SIASA)
na haya ndio maisha ya sasa
0 comments: