HIVI PUNDE POLISI WAFANYA KAZI YAO NDANI YA TUNDUMA

...................

Polisi kutoka iktuo cha tunduma wamevamia baa inayoitwa mapogoro katika eneo la mapogoro hapa tunduma na kumkamata kijana mmoja na kwenda naye kituoni. Hadi sasa bado hatujapata taarifa kuhusu kujana huyo kuwa katenda kosa gani hadi sheria imfuate kwa staili hiyo. endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi za tukio hili.


POLISI NA MTUHUMIWA




http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: