JE UNAMFAHAMU HUYU MSANIII.....? WA WAPI....?

...................
Kwa wale wa kitambo nafahamu jina la coolio si geni sana masikioni mwenu. Kibao alichovuma nacho sana ni hiki nilichowaletea siku ya leo. Wengi watakumbuka mbali na kuvuta hisia mbalimbali.
kazi kwako.
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: