MADOGO MAKUBWA YANANAFUU, ETI ......KUMUONA MTOTO WA DIAMOND NA ZARI NI, MIL.20..HADI VYOMBO VYA HABARI KULIPIA
AMA kweli Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Mama Kijacho, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, sasa ni wa kimataifa zaidi ambapo wakati mwanamama huyo akijiandaa kujifungua, tayari mtoto ajaye ameandaliwa chumba maalum cha kulala na gharama za kumuona kwa atakayehitaji picha hasa za kwenye vyombo vya habari, itakuwa si chini ya Sh. milioni 20.
CHANZO:habarika
0 comments: