International Champions Cup :Man utd yaichinja Barca 3-1,,,,Chelsea yashinda pia kwa penati 6-5
Timu ya man utd imeichakaza barca magoli 3 kwa moja katika mashindano ya International Champions Cup
timu hizo zimekipiga katika uwanja wa Santa Clara, California. Magoli ya united yalifungwa na waza,lingard na januaz wakati la barca limefungwa na Rafinha
mchezo huu umekuwa ushindi wa tatu katika mechi tatu za mashindano hayo
United XI: De Gea, Darmian, Jones, Blind, Shaw, Carrick, Schneiderlin, Mata, Young, Memphis, Rooney
Starting XI: 1. Ter Stegen 3. Piqué 5. Sergio 7. Pedro 8. Iniesta 9. Suárez 12. Rafinha 18. Alba 20. S.Roberto 21. Adriano 23. Vermaelen
Chelsea (4-2-3-1): Begovic (Coutois 45); Ivanovic, Cahill (Zouma 45), Terry, Azpilicueta; Mikel (Ramires 45), Matic (Oscar 70); Moses (Remy 70), Fabregas (Willian 70), Hazard (Cuadrado 74); Diego Costa (Falcao 70)
Booked: Azpilicueta
Scorers: Moses 65
PSG (4-3-3): Trapp (Sirigu 68); Maxwell (Digne 79), David Luiz (Marquinhos 45), Aurier (Silva 64), Van der Wiel (Sabaly 79); Stambouli (Rabiot 45), Matuidi (Nkunku 79), Verrati (Motta 45), Lucas (Ongenda 79); Ibrahimovic (Bahebeck 79), Augustin (Cavani 65)
Booked: Rabiot, Aurier
Scorers: Ibrahimovic 24
.
.
.
source:the daily mail
0 comments: