...................
.
Rmchezaji aheem Sterling kawa mchezaji wa umri wa miaka 21 au chini zaidi kwa kununuliwa kwa kitita kikuba na kulipwa mshahara mkubwa baada ya kusajiliwa ,huyu aliyekamilisha usajiri wake toka liverpool kwenda manchester city amekuwa ghali zaidi kwa sasa duniani. Hatuwezi jua inawezekana akaendelea kushikilia record hii au record ikavunjwa na mwingine katika usajili huu unaoemdelea
Angalia wachezaji wengine hapo chini
Raheem Sterling: Liverpool to Manchester City
Fee: £49m
Age: 20
Wages: £180,000-a-week
Neymar: Santos to Barcelona
Fee: £48.6m
Age: 21
Wages: £150,000-a-week
Eden Hazard: Lille to Chelsea
Fee: £32.5m
Age: 21
Wages at time of move: £150,000-a-week
Mario Gotze: Borussia Dortmund to Bayern Munich
Fee: £32m
Age: 20
Wages: £115,000-a-week
Lucas Moura: Sao Paulo to Paris Saint-Germain
Fee: £31.8m
Age: 19
Wages: £82,000-a-week
Javier Saviola: River Plate to Barcelona
Fee: £29m
Age: 19
Wages: £90,000-a-week
Romelu Lukaku: Chelsea to Everton
Fee: £28m
Age: 21
Wages: £75,000-a-week
Luke Shaw: Southampton to Manchester United
Fee: £27m
Age: 18
Wages: £120,000-a-week
Wayne Rooney: Everton to Manchester United
Fee: 27m
Age: 18
Wages at time of move: £50,000-a-week
Anderson: Porto to Manchester United
Fee: £25m
Age: 18
Wages: £80,000-a-week
source:dailymail.co.uk
GIVE YOUR OPINIONS HERE
0 comments: