NI KWELI MADRID WAMEKUBALI KUSHINDWA....????

...................
Idadi ya kura zilizopigwa na mashabiki wa Real Madrid zinaonyesha asilimia 70 wamekubali kuvuta subira ya kumsajiri David De Gea mwisho wa msimu atakapo kuwa mchezaji huru. Kwa sasa sakata hilo la usajiri wake bado halina mstakabali ulioeleweka. Tusubiri tuone nini kitatokea.

Jambo hili laweza kuwa na ukweli wani hadi sasa madrid wapo mwishoni mwa mchakato wa kumpata kipya mpya  baada ya Iker Cassilas kutimkia Fc Porto
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: