Wasanii hawa ni noma kwa lugha zaidi ya mbili
...................
Nelly Furtado ANAONGEA LUGHA TATU
anaongea Kireno, Kihispania na Kingereza kwa ufasaha

Camilla Belle Routh
Pia anaongea lugha tatu lugha hizo ni KIJERUMANI, KIFARANSA NA KIINGEREZA
Malin Akerman
huyu anaongea lugha nne ambazo ni Kiswedish, kispanish kifaransa na english
Tom Hiddleston
ambazo ni kigiriki,kispanish kifaransa na english
Viggo Mortensen huyu anaongea lugha tano anaongea lugha hizi
English, Danish Spanish Italian, and French
Jodie Foster anaongea lugha tano, hizi hapa kijerumani kiitaliano kihispania, kifaransa na english

Natalie Portmananaongea lugha sita zicheki kiebrania, kiingereza, kifaransa, kihispania, kijapani na lugh ya vitendo

Shakira anaweza kuongea lugha saba. hizi hapa kiingereza, kihispania, kiitaliano, kifaransa, lugha ya catalan(jimbo la cataluna) kiarabu na kireno
source:http://thesqeez.com
GIVE YOUR OPINIONS HERE
0 comments: