YAMETIMIAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

...................


Aliyekuwa anatuhumiwa kwa kashfa leo awa shujaa. kwahiyo tuwaeleweje? Mlisema fisadi na mambo mengi leo kawa shujaa kuongeza nguvu ya kuing'oa ccm.  Kwa hili naomba kuhoji mtu safi ni yule aliyejiunga ukawa? je hata  waliotuhumiwa kwa ubadhilifu wakiingia ukawa watakuwa mashujaa? Sijawaelewa katika hili
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: