Mlipuko China:Watu 95 hawajulikani waliko Tazama Picha za Tukio

...................

  A damaged building in Tianjin, China, on 16 August, 2015



Siku nne baada milipuko mikubwa kuukumba mji wa Tianjin nchini China, utawala unasema kuwa bado watu 95 hawajulikani waliko.
Karibu wale wote wasiojulikana waliko ni wazima moto.
Idadi ya watu waliouawa kwenye milipuko hiyo imepanda hadi zaidi ya watu 110.
Wasimamizi wa mitaandao nchini China wamefunga mitandao kadha inayodaiwa kuzua hofu kwa kuchapisha habari zisizokuwa za kweli.
Mapema mamia ya mitandao ya kijamii ilifungwa na utawala kwa kueneza uvumi kuhusu milipuko hiyo

 An aerial view on 15 August, 2015, of a large hole in the ground in the aftermath of a huge explosion that rocked the port city of Tianjin, China.

 Map of blast site
 chanzo:bbc
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: