CHANGAMOTO YA ELIMU:MTANILA WAKAMILISHA UJENZI WA MAABARA
Mratibu
elimu kata ya Mtanila wilayani Chunya,Venant Lymo akikagua kazi ya
ufungaji madirisha ya Aluminium katika moja ya majengo ya maabara kwenye
shule ya sekondari ya kata hiyo ikiwa ni ukamilishaji wa agizo la rais
mstaafu Jakaya Kikwete la kuzitaka shule zote za sekondari kuwa na
maabara kwaajili ya masomo ya sayansi.Kulia ni fundi Daudi Mkilima
aliyefanya kazi ya kufunga madirisha hayo
0 comments: