NIMEVUTIWA NA HILI TOKA FACEBOOK
HISTORIA
Pichani anaevishwa beji ya uanjeshi
uliotukuka ni mmoja kati ya makomandoo hatari waliotokea kwenye jeshi la
wananchi wa tz miaka ya 1964..alikuwa ni mtu hatari ambaye alikiwa kwenye
mstari wa mbele kwenye mapinduzi ya zanzibar kiasi kwamba baada ya mapinduzi ya
znz ilibidi ahamishiwe bara..kwa kuhofiwa na kina karume angewaza fanya
mapinduzi mengine...katika miaka 70 aliongoza kikosi maalum dhidi ya choko
choko za rais KAMUZU BANDA wa malawi..ambapo alimwacha BANDA akiwa haamini
kilichotokea kinaweza fanywa na majeshi kutoka tz...ilifikia hatua serikali ya
nyerere ilishindwa kumuamini na kumkabidhi kwa nchi mojawapo jirani na tanzania
awasaidie kupata ukombozi...kazi aliyofanya huko mpaka leo imebaki kwenye
vitabu vya historia alifariki na kuzikwa kwenye hiyo nchi..baada ya serikali ya
tz kukataaa kumpokea kwa kumuofia sana..mkewe kwenye miaka ya 98 alikuwa
mwanasiasa machachari sana tz..ni nani?
Comments
5 of 33
Andrew Kifanga
Colonel Mahfudh
Gady Beneth Mahenge Mshukuriwe kwa mada hii yenye elimu hasa kwetu vijana
wadogo.
Olayce Thomas
Anaitwa Arnold Schwarzenneger na aliyafanya hayo kwenye ile movie yake ya
COMMANDO
Othumani Kihedu
Colnel mahfoudh huyo alifia msumbiji kama sikosei
Mwarobaini Jini
Kanal mahfudh huyu enzi za vita ya kagera alikuwepo,,,ktk kikao cha idd amini
na makamanda wake wa vita kambi ya mbarara aliacha ujumbe wa maandishi
unasomeka"idd amin salam mimi colnel mahafudh nilikuwepo hapa na nyinyi
nimewasoma mikakati yenu nawatakia mapambano mema,,,,,idd amin alistuka na
kuogopa sana akawaambia makamanda,,huyu mahafudh nimesoma naye israel ni mtu
hatari sana na anatisha,,,
0 comments: