WAFAHAMU MARAIS AMBAO BABA ZAO WALIKUWA MARAIS
John Adams na mtoto wake, John Quincy Adams, ambapo walikuwa rais wa pili na rais wa sita wa Marekani, Set ya pili kwa Marekani ni George H. W. Bush aliyekuwa rais wa 41 na mtoto wake George W. Bush, aliyekuwa rais wa 43 .
Rais wa Botswana
.Ian Khama, Rais wa sasa wa Botswana ni mtoto wa Sir Seretse Khama, ambaye ni kiongozi wa kwanza wa Taifa hilo.
Rais wa Kenya
Uhuru Kenyatta ni Rais wa 4 wa Kenya ni mtoto wa Rais wa zamani wa Taifa hilo, Jomo Kenyatta.
Kenyatta,
Rais wa jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC)
Joseph
Kabila, ni Rais wa sasa tangu2001. Alipewa nafasi hiyo siku kumi baada ya kifo cha baba yake Laurent-Désiré Kabila.
.
President of Gabon
Rais wa sasa wa Gabon, Ali Bongo Ondimba, ni mtoto wa Omar Bongo aliyekuwa rais tangu 1967 mpaka mauti ilip omfika mwaka2009.
Rais wa Togo
Faure Essozimna Gnassingbé, amepata wadhifa huo baada ya kifo cha baba yake Gnassingbé Eyadéma, mwaka 2005 aliyekuwa rais wa nch hiyo.
Zaidi soma hapa africacradle
0 comments: