FAINALI YA KOMBE LA MBUNGE TUNDUMA YAPATA DOSARI
Leo 25/09/2016 kumekuwa na mechi ya fainali ya kombe la mbunge hapa tunduma. Fainali hiyo imezikutanisha timu za Morning Star na Migombani Fc ambapo katika dakika ya 111 hali ya sinto fahamu ilijitokeza na kusababisha vurugu kutokea iliyosababisha mechi kuvunjika
zaidi anatupasha shuhuda aliyekuwepo uwanjani, sikiliza sauti yake
pia tumefanikiwa kupata maelezo ya tukio kutoka kwa mchezaji wa morning star msikilize hapa

VITI VIKIWA VIMEHARIBIWA
POLISI WAKIWASILI ENEO LA TUKIO KUWEHA MAMBO SAWA YA KIUSALAMA

0 comments: