Zitto ASEMA HAYA BAADA YA LIPUMBA KUDAIWA KAHAMIA ACT-Wazalendo
Siku
ya jana September 5 2016 zilisambaa taarifa zilizodai kuwa chama cha
ACT-Wazalendo kipo kwenye kikao cha kujiandaa kumpokea aliyekuwa
mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF, Prof. Ibrahim Lipumba kwamba
atahamia kwenye chama hicho.
Sasa leo
September 6 2016 chama hicho kimekutana na waandishi wa habari ambapo
katika mkutano huo, kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe amejibu kuhusu
taarifa zilizosambaa zkwamba Prof. Lipumba atahamia chama hicho, Zitto
amesema……
>>>’Chama
chetu sisi ni cha uwazi kwa hiyo tusingependa watu ambao wanatuwekea
maneno, watu ambao wanatabiri vitu ambavyo kimsingi havipo kwa malengo
yao, kwa mfano hizo fununu zilizosambazwa jana zilikuwa ni fununu zenye
malengo hasichanzo: http://millardayo.com

0 comments: