PROF.NDALICHAKO AWAFUKUZA CHUO WALIMU WALIOMPIGA MWANAFUNZI MBEYA
Profesa NDALICHAKO amesema kwa mujibu taratibu za vyuo vikuu kitendo kilichofanywa na wanafunzi hao ni kosa la jinai na hawawezi kuendelea na taaluma ya ualimu kwa sababu wamekosa sifa ya kuwa walimu.
Aidha ameelezea kusikitishwa kwake pamoja kuchukizwa na kitendo hicho ambacho amesema si cha kawaida na hakiwezi kufumbiwa macho
chanzo: http://www.maswayetublog.com

0 comments: