YANAYOJIRI SIKU YA FAINALI YA KOMBE LA MBUZI SHULENI J.M KIKWETE MJINI TUNDUMA
Nikawaida kila mwaka kuwa na michezo katika shule ya sekondari j.m kikwete. leo ni siku ya fainali ambapo washindi kwa uande wa wavukana na wasichana itakuwa mbuzi. kabla ya fainali kuna kuonyesha vipaji mbalimbali kwa wanafunzi na kutakuwa na michezo mingi kama kukimbiza kuku, kuvuta kamba na mingine. zifuatazo ni icha za matukio yanayoendelea hapa
majajihapa chini ni waonyesha mitindo
hapa chini wanafunzi mashabiki wa brudani hizi
Jaji mwalongo na komba
0 comments: