DK.SHEIN AKUTANA NA RAIS WA CHINA XI JINPING
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akiwatambulisha Viongozi katika ujumbe aliofuatana nao kwa
Rais wa Jamhuri ya watu wa China Xi jinping, walipofika Ikulu ya Mjini
Beijing Nchini China akiwa katika ziara ya mualiko wa Serikali wa
Jamhuri hiyo.

Mohamed Shein,(wa nne kushoto)akiwa na ujumbe wake katika mazungumzo na
Rais wa China Xi Jinping,(wane kulia) katika Ikulu ya Mjini Beijing
Nchini China leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo wa Rais wa China Li Yuanchao,katika
makaazi yake Mjini Beijing nchini China akiwa katika ziara ya mualiko
wa Kiserikali wa Nchi hiyo.

Mohamed Shein,akiwa katika mazungumzo na Makamo wa Rais wa China Li
Yuanchao,katika makaazi yake Mjini Beijing nchini China akiwa katika
ziara ya mualiko wa Kiserikali wa Nchi hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,(wa pili nkulia)akiwa katika mazungumzo na Makamo wa Rais
wa China Li Yuanchao,(kulia)katika makaazi yake Mjini Beijing nchini
China akiwa katika ziara ya mualiko wa Kiserikali wa Nchi hiyo,pamoja na
ujumbe aliofuatana nao leo.
MKE WA RAIS WA ZANZIBAR MAMA MWANAMWEMA SHEIN AKISALIMIANA NA MKE
WA MAKAMO WA RAIS WA CHINA MAMA LI YUANCHAO,ALIPOWASILI KATIKA MAKAAZI
YA MAKAMO WA RAIS MJINI BEIJING NCHINI CHINA KATIKA ZIARA YA KISERIKALI.
MKE WA RAIS WA MAMA MWANAMWEMA SHEIN AKISALIMIANA NA MAKAMO WA RAIS
WA CHINA LI YUANCHAO,ALIPOWASILI KATIKA MAKAAZI YA MAKAMO WA RAIS MJINI
BEIJING NCHINI CHINA KATIKA ZIARA YA KISERIKALI,KATIKATI NI RAIS WA
ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOHAMED SHEIN.
MKE WA MAKAMO WA RAIS WA CHINA MAMA LI YUANCHAO,AKISALIMIANA NA
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.ALI MOAHAMED
SHEIN, KATIKA MAKAAZI YA MAKAMO WA RAIS MJINI BEIJING NCHINI CHINA AKIWA
KATIKA ZIARA YA KISERIKALI.
kutoka unapitwa
0 comments: