Mtwara pamekucha:
Mkakati wa kukusanya, kuchoma moto kadi za CCM, na mengineyo
- Mkakati wa kukusanya kadi za CCM na kurudisha au kuzichoma moto unaratibiwa.
- Tarehe 29/05/2013 ingawa taarifa sio rasmi kunaweza kusiwe na shughuli yoyote.
- Watuhumiwa wa vurugu (wengi wao vibarua wa ujenzi wa bara bara na wanafunzi wa vyuo pamoja na vijana wa mtaani) wamefikishwa mahakamani kwa shitaka la uchochezi na wamenyimwa dhamana.

0 comments: