MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU DAR (UDSM) AFARIKI DUNIA GHAFLA AKIWA AMEPUMZIKA JIONI HII
Taarifa
ambazo zimetufikia kwenye chumba cha habari muda huu ni kwamba
mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam amefariki dunia ghafla
akiwa amelala
Mwanafunzi
huyo aliyetambulika kwa jina la Sakabenga amefariki akiwa amepumzika
chumbani kwake na sababu za kifo hicho hazijajulikana
Mwili huo wa marehemu tayari umechukuliwa na umepakiwa kwenye gari tayari kwenda kuhifadhiwa
chanzo:eddyblog


0 comments: