SOMA HAPA CHAT YA MWISHO KATI YA MAREHEMU MANGWEA NA WEMA SEPETU KABLA YA KIFO CHAKE
Katika
dondoo zetu leo hii tuliweza kupata moja ya chat za mwisho mwisho ya
marehemu Albert Mangwea akiwa afrika ya kusini na mwanadada wa bongo
movies Wema sepetu. Katika maongezi hayo Ngwea alikuwa anapanga Kumtumia
mwadadada mwingine wa bongo movies Kajala Masanja kwenye video yake
mpya aliyokuwa anajiandaa kuifanya. Maongezi yao yalikuwa hivi.
Mangwea : kuku bandani..
Mangwea : Nataka Kajala…
Mangwea : Sikiza nyimbo then utanipa idea..
Mangwea : Nataka tukipiga hela kwa bro…
Mangwea : Tulipe na hela ya ticket ya Jux aje toka China tumalize huku kusini
Mangwea : #hugs
Wema Sepetu : Upo api?
Mangwea: Me nipo Pretoria now momo…
(Angalia screen shot ya maongezi hayo pichani)
Dah, inasikitisha sana. Maisha ya Msanii huyu yaliyokatika mapema. Mungu ailaze roho marehemu mahali pema peponi.
0 comments: