Super Feo yaanzisha safari za Mbinga-Dar
Na songea yetu
HAPA ni Kituo cha Mabus Mbinga: Angalia Mabus ya Superfeo Express ya Songea, yakiwa yamejipanga kabla ya uzinduzi tayari kwa safari za kutoka Mbinga - Dar -Mbinga. |
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbinga, Bw.Idd Mponda akikata utepe jana kuashiria uzinduzi rasmi wa Safari za Mbinga -Dar -Mbinga kuanzia leo Juni 12, 2013. |

0 comments: