NILIMVULIA MWENYEWE, WALA SIKULAZIMISHWA NA MTU, MNIACHE..!!

...................

http://theclicktz.com/
 Imekua ni shida siku hizi, yani watu wanataka uwe na mtu wanao mtaka wao, nilimpenda kijana fulani kwakweli sikutarajia hata kama ningeweza kumpa tunda kwa haraka namna ile, lakini nilijikuta tu sikumoja nafanya hivyo kwakweli siku lazimishwa na mtu nilivua mwenyewe na kwakweli sijutiii maamuzi yangu, ila imekua shinda kwa marafiki zangu wanasema vibaya kuhusu mimi kutembea na mpenzi wangu huyo, kwakweli mi nampenda ndio mana hata sijutii. Wengine wanadai kuwa haitachukua muda ataniacha lakini yote heri tu. MNIACHE
chanzo the Clicktz
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: