Kwa teknolojia hii ajira zipo mashakani,Shuhudia mwenyewe...!

...................

Roboti zapata ajira mgahawani China

 
Hadimu hivi karibuni huenda wakakosa ajira maana roboti zimezinduka 
 
Mgahawa mmoja nchini China umeanza kutumia Roboti badala ya kuwaajiri hadimu au wafanyakazi wa hotelini kuwapakulia chakula na vinywaji wageni. Hebu tazama mambo yalivyo
http://www.bbc.com/news/world-asia-30460737

shukrani:bbcswahili
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: