''Picha za ngono'' zaonyeshwa
Uchunguzi unaendelea baada ya picha ya ngono kuonyeshwa katika televisheni wakati wa maombolezi ya baba na mwanawe.
Ibada
ya Simon Lewis mwenye umri wa miaka 33 na mwanawe ilifanyika katika
eneo la kuchoma maiti la Cardiff Thornhill siku ya Jumatano
0 comments: