ELIMU KWA VITENDO. KAZI KWAKO

...................
 Wanafunzi hawa wa shule moja ya sekondari(j.m kikwete)iliyopo tunduma wakiwa na mwalimu wao walikutwa na mpigapicha wetu wakisoma katika uhalisia moja kati ya mada zinazotakiwa kufundishwa.walipoulizwa ni somo gani walijibu ni somo la jiografia.








http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: