MANENO HAYA YA MZEE WETU YAZINGATIWE KWA MANUFAA YA TAIFA.

...................
Mzee wetu baba wa taifa alikuwa mtu wa kuona mbali na hata hakusita kukemea,kuonya na hata kukaripia yale yote ambayo yamekuwa hayafai katika jamii ya Tanzania. Uwezo wa kuona mbali na hali ya kutofumbia macho jambo ndio ilikuwa jadi yake. Tanzania ya leo ni dhahiri kuwa isinge kuwa hapa ilipo kama tungeweza pata viongozi wa aina aliyofikiri kuwa ni viongozi wanaofaa kuliongoza taifa hili.
Source;youtube
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: