TAZAMA MWANASAYANSI WA KENYA ALICHOFANYA............!

...................


Kijana mmoja toka kenya ameonyesha umahiri wake katika kutumia kile alichojifunza shuleni. Kijana huyu kaweza kutengeneza mfumo wa mawasiliano nyumbani kwao kijijini ambapo ameweza kuunganisha mawasiliano nyumba nzima ambayo. Kijana pia kaweza kutengeneza mfumo wa kuwasha umeme na kuzima kwa kutumia simu ya mkononi. Vilevile ameanza kuanzisha kutengeneza mfumo wa kuanika na kuanua nguo kwa kutumia simu hata akiwa mbali na nyumbani kwao. Tuangalie mbali zaidi kijana ameweza kutengeneza mfumo wa ulinzi wa kufunga na kufungua milango nyumbani kwao. Kweli kijana huyi kaonyesha kipaji cha hali ya juu na ni mwanasayansi anayewsza kuwa tegemeo la nchi ya kenya hapo baadaye.
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: