TUNDUMA MPOOOO......! TUNZA MAZINGIRA YA KUTUNZE

...................

mazingira ni muhimu yatunzwe ili kusaidia uhai uendelee kuwepo. Katika jitihada hizi za kutunza mazingira upandaji wa miti ya aina zote ni muhimu.waweza kupanda miti ya matunda,miti kwaajili ya kuhifadhi maji na hata miti kwaajili ya matumizi mengine kama mbao. Kuna utaalamu wa kuweza kuandaa miti kwaajili ya kuipata. Pia katika kutunza mazingira maua au miti ya maua ni muhimu pia. Kwa watu wa tunduma huduma hii inapatikana katika eneo la idara ya maji ambapo uzalishaji wa miti ya aina mbalimbali hupatikana. Kama ni mdau wa mazingira au kwa namna moja ama nyingine umehamasika basi fika eneo husika kwa maelezo za huduma.

http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: