...................
Nchi mbalimbali za afrika zinatofautiana katika tamaduni toka nchi moja hadi nyingine.. Utofauti huo upo katika mambo mbalimbali,mfano suala la mazishi. Wapo wanaoona jambo hilo ni la huzuni na wapo wanaoona jambo hilo ni la furaha. Yote katika yote mwisho wa siku marehemu huzikwa
chanzo:whatsapp
GIVE YOUR OPINIONS HERE
0 comments: