KWA TEKNOLOJIA HII TANZANIA TUSUBIRI SANA........CHEKI KAZI INAVYOFANYIKA HAPA.

...................







Mtambo wa ajabu kwa kazi ya kuvuna misitu

Duniani sehemu tofauti tofauti zinamaendeleo tofauti ya kiteknolojia. Vitu na mambo mbalimbali hugunduliwa na kuvumbuliwa. Hii ni changamoto kwa mataifa mbalimbali katika kuleta ushindani wa kimaendeleo. Urahisishwaji wa kazi ndio jambo la msingi. Mfano mtambo huu unarahisisha kazi kwa kiwango kikubwa na kwa ufanisi zaidi.

Chanzo.whatsapp
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: