...................
Kwa hali hii ni shidaaaaaaaa maana gari hili kiuhalali halikustahili kuingia barabarani. Lakini ndo hivyo limeingia. Hivi wanausalama barabarani hawapo? Au nchi hiyo rushwa imetawala? Kazi kwako msomaji.
chanzo.whatsapp
GIVE YOUR OPINIONS HERE
0 comments: