RAIS MUGABE AANGUKA JUKWAANI

...................

Rais wa zimbabwe Mh Robert Mugabe hivi majuzi akiwa anashuka toka jukwaani akiwa amemaliza shughuli yake ya kiserikali alianguka chini kwa bahati mbaya katika ngazi ya mwisho.

Chanzo:youtube

http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: