UTEUZI WA WAKUU WA MIKOA

...................

 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 27
*Atengua uteuzi wa Ma-DC 12, awabadilisha vituo 64, awabakiza 42 kwenye vituo vyao vya zamani

RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42 amewabakisha kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani.

Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa OWM TAMISEMI leo mchana (Jumatano, Februari 18, 2015) Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwepo kwa nafasi wazi 27 ambazo zilitokana na wakuu wa wilaya watatu kufariki dunia; kupandishwa cheo wakuu wa wilaya watano, kupangiwa majukumu mengine wakuu wa wilaya saba na kutenguliwa kwa uteuzi wa wakuu wa wilaya 12.

Hata hivyo, Waziri Mkuu alisema, Rais Kikwete amewabadilisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 64 na kuwabakiza kwenye vituo vyao vya zamani wakuu wa wilaya 42.

Wakuu wa Wilaya wapya 27 walioteuliwa ni Mariam Ramadhani Mtima anayeenda Ruangwa; Dk. Jasmine B. Tiisike anayeenda Mpwapwa; Pololeti Mgema (Nachingwea); Fadhili Nkurlu anayeenda Misenyi; Felix Jackson Lyaniva anayeenda Rorya na Fredrick Wilfred Mwakalebela anayeenda wilayaya Wanging’ombe.

Wengine na vituo vyao kwenye mabano ni Zainab Rajab Mbussi (Rungwe); Francis K. Mwonga (Bahi); Kanali Kimiang’ombe Samwel Nzoka (Kiteto), Husna Rajab Msangi (Handeni), Emmanuel J. Uhaula (Tandahimba); Mboni Mhita (Mufindi); Hashim S. Mgandilwa (Ngorongoro); Mariam M. Juma (Lushoto); Thea Medard Ntara (Kyela); Ahmad H. Nammohe (Mbozi); Shaban Kissu (Kondoa) na Stephen Zelothe (Musoma).

Wengine ni Pili Moshi (Kwimba); Mahmoud A. Kambona (Simanjiro); Glorius B. Luoga (Tarime); Zainab R. Telack (Sengerema); Bernard Nduta (Masasi); Zuhura Mustafa Ally (Uyui); Paulo Makonda (Kinondoni); Mwajuma Nyiruka (Misungwi) na na Maftah Ally Mohamed (Serengeti).

Wakuu wa Wilaya saba ambao uteuzi wao umetenguliwa lakini watapangiwa kazi nyingine ni Brig. Jenerali Cosmas Kayombo aliyekuwa Simanjiro; Kanali Ngemela E. Lubinga (aliyekuwa Mlele); Juma S. Madaha (aliyekuwa Ludewa); Mercy E. Silla (aliyekuwa Mkuranga); Ahmed R. Kipozi (aliyekuwa Bagamoyo); Mrisho Gambo (aliyekuwa Korogwe) na Elinas A. Pallangyo (aliyekuwa Rombo).

Waziri Mkuu pia aliwataja Wakuu wa Wilaya 12 ambao uteuzi wao umetenguliwa kutokana na sababu za umri, kiafya na kuimarisha utendaji Serikaini na wilaya zao kwenye mabano kuwa ni James K. Ole Millya (Longido); Elias Wawa Lali (Ngorongoro); Alfred Ernest Msovella (Kongwa); Danhi Beatus Makanga (Kasulu); Fatma Losindilo Kimario (Kisarawe); Elibariki E. Kingu (Igunga); Dk. Leticia Moses Warioba (Iringa); Evarista N. Kalalu (Mufindi); Abihudi M. Saideya (Momba); Martha J. Umbulla (Kiteto); Khalid J. Mandia (Babati) na Elias Goroi (Rorya).

(mwisho)

IMETOLEWA NA:

OFISI YA WAZIRI MKUU,

S. L. P. 980,

DODOMA.

JUMATANO, FEBRUARI 18, 2015.


==================Orodha nzima ya wakuu wa Wilaya Soma Hapa Chini;

Wakuu wa Wilaya waliofariki dunia

NAJINAWILAYA
1.Capt.(mst)JamesC.YamunguSerengeti
2.AnnaJ.MagohaUrambo
3MoshiM.Chang’aKalambo
Wakuu wa Wilaya walio pandishwa cheo
Wakuu wa Wilaya wafuatao wamepandishwa cheo kuwa Wakuu wa Mikoa

NAJINAWILAYAMKOAALIOPANGIWA
1.JohnVianneyMongelaArushaKagera
2.AminaJumaMasenzaIlemelaIringa
3Dkt.IbrahimHamisMsengiMoshiKatavi
4HalimaOmariDendegoTangaMtwara
5DaudiFelixNtibendaKaratuArusha
Wakuu wa Wilaya waliopangiwa majukumu mengine
Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa na watapangiwa kazi nyingine ni hawa wafuatao;

NA.JINAWILAYA
1Brig.GeneralCosmasKayomboSimanjiro
2Col.NgemelaElsonLubingaMlele
3JumaSolomonMadahaLudewa
4MercyEmanuelSillaMkuranga
5AhmedRamadhanKipoziBagamoyo
6MrishoGamboKorogwe
7.ElinasAnaelPallangyoRombo
Wakuu wa Wilaya Wanaotenguliwa
Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa kutokana nasababu za umri, kiafya na nyinginezo na vituo vyao ni kama inavyoonekana hapa chini:

NAJINAWILAYA
1.JamesKisotaOleMillyaLongido
2.EliasWawaLaliNgorongoro
3.AlfredErnestMsovellaKongwa
4.DanyBeatusMakangaKasulu
5.FatmaLosindiloKimarioKisarawe
6.ElibarikiEmanuelKinguIgunga
7.Dr.LeticiaMosesWariobaIringa
8EvaristaNjilokiroKalaluMufindi
9.AbihudiMsimediSaideyaMomba
10.MarthaJachiUmbulaKiteto
11KhalidJumaMandiaBabati
12EliasiGoroiBoeBoeGoroiRorya
Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa
Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa na Wilaya zao niwafuatao;

NA.JINAJINSIWILAYA
1.MariamRamadhaniMtimaKERuangwa
2.Dkt.JasmineB.TiisikeKEMpwapwa
3.PololetiMgemaMENachingwea


NA.JINAJINSIWILAYA
4.FadhiliNkurluMEMisenyi
5.FelixJacksonLyanivaMERorya
6.FredrickWilfredMwakalebelaMEWanging’ombe
7.ZainabRajabMbussiKERungwe
8.FrancisK.MwongaMEBahi
9.Col.Kimiang’ombeSamwel
Nzoka
MEKiteto
10.HusnaRajabMsangiKEHandeni
11.EmmanuelJumanneUhaulaMETandahimba
12.MboniMhitaKEMufindi
13.HashimS.MngandilwaMENgorongoro
14.MariamM.JumaKELushoto
15.TheaMedardNtaraKEKyela
16.AhmadH.NammoheMEMbozi
17.ShabanKissuMEKondoa
18.ZeloteStephenMEMusoma
19.PiliMoshiKEKwimba
20.MahmoudA.KambonaMESimanjiro
21.GloriusBernardLuogaMETarime
22.ZainabR.TelackKESengerema
23.BernardNdutaMEMasasi
24.ZuhuraMustafaAllyKEUyui
25.PauloMakondaMEKinondoni


NA.JINAJINSIWILAYA
26.MwajumaNyirukaKEMisungwi
27.MaftahAllyMohamedMESerengeti
Wakuu wa Wilaya waliobadilishwa Vituo
Wakuu wa Wilaya wafuatao wamebadilishwa vituo vya kazi kama ifuatavyo;

NAJINAJINSIAWILAYA
ATOKAYO
WILAYAAENDAYO
1.NyerembeDeusdeditMunasaMEArumeruMbeya
2JordanMungireObadiaRugimbanaMEKinondoniMorogoro
3FatmaSalumAllyKEChamwinoMtwara
4LephyBenjaminiGembeMEDodomaMjiniKilombero
5ChristopherRyobaKangoyeMEMpwapwaArusha
6OmarShabanKwaang’MEKondoaKaratu
7FrancisIsackMtingaMEChembaMuleba
8ElizabethChalamilaMkwasaKEBahiDodoma
9AgnesEliasHokororo(Mb)KERuangwaNamtumbo
10ReginaReginaldChonjoKENachingweaPangani
11HusnaMwilimaKEMbogweArumeru
12GeraldJohnGuninitaMEKiloloKasulu
13BiZipporahLyonPanganiKEBukobaIgunga
14Col.IssaSuleimaniNjikuMEMissenyiMlele


NAJINAJINSIAWILAYA
16Bw.RichardMbehoMEBiharamuloMomba
17Bw.LembrisMarangushiKipuyoMEMulebaRombo
18RamadhaniAthumanManenoMEKigomaChemba
19VenanceMethusalahMwamotoMEKibondoKaliua
20GishuliMbegesiCharlesMEBuhigweIkungi
21NovatusMakungaMEHaiMoshi
21AnatoryKisaziChoyaMEMbuluLudewa
22ChristineSolomoniMndemeKEHanang’Ulanga
23JacksonWilliamMusomeMEMusomaBukoba
24JohnBenedictHenjeweleMETarimeKilosa
25Dkt.NormanAdamsonSigallaMEMbeyaSongea
26Dr.MichaelYuniaKadegheMEMboziMbulu
27CrispinTheobaldMeelaMERungweBabati
28MagrethEsterMalengaKEKyelaNyasa
29SaidAliAmanziMEMorogoroSingida
30AntonyJohnMtakaMEMvomeroHai
31EliasChoroJohnTarimoMEKilosaBiharamulo
32FrancisCryspinMitiMEUlangaHanang’
33HassanEliasMasalaMEKilomberoKibondo


NAJINAJINSIAWILAYA
34AngelinaLubaloMabulaKEButiamaIringa
35FaridaSalumMgomiKEMasasiChamwino
36WilmanKapenjamaNdileMEMtwaraKalambo
37PonsianDamianoNyamiMETandahimbaBariadi
38MariamSefuLugailaKEMisungwiMbogwe
39MaryTeshaOnesmoKEUkereweBuhigwe
40KarenKemilembeYunusKESengeremaMagu
41JosephineRabbyMatiroKEMaketeShinyanga
42JosephJosephMkirikitiMESongeaUkerewe
43AbdulaSuleimanLutaviMENamtumboTanga
44ErnestNg’wendaKahindiMENyasaLongido
45AnnaRoseNdayishimaNyamubiKEShinyangaButiama
46RosemaryKashindiKirigini
(Mb)
KEMeatuMaswa
47AbdallahAliKihatoMEMaswaMkuranga
48ErastoYohanaSimaMEBariadiMeatu
49QueenMwanshingaMuloziKESingidaUrambo
50YahyaEsmailNawandaMEIrambaLindi
51ManjuSalumMsambyaMEIkungiIlemela
52SaveliMangasaneMakettaMEKaliuaKigoma
53BituniAbdulrahmanMsangiKENzegaKongwa
54LucyThomasMayengaKEUyuiIramba


NAJINAJINSIAWILAYA





55MajidHemedMwangaMELushotoBagamoyo
56MuhingoRweyemamuMEHandeniMakete
57HafsaMahinyaMtasiwaKEPanganiKorogwe
58Dr.NasoroAliHamidiMELindiMafia
59FestoShemuKiswagaMENanyumbuMvomero
60SaudaSalumMtondooKEMafiaNanyumbu
61SelemanMzeeSelemanMEKwimbaKilolo
62EsterinaJulioKilasiKEWanging’o
mbe
Muheza
63SubiraHamisMgaluKEMuhezaKisarawe
64JacquelineJonathanLianaKEMaguNzega

Wakuu wa Wilaya wanaobaki katika vituo vyao vya sasa
Wakuu wa Wilaya wafuatao wanaendelea kubaki katika vituovyao vya sasa;

NAJINAJINSIAWILAYA
1JowikaWilsonKasungaMEMonduli
2RaymondHieronimiMushiMEIlala
3SophiaEdwardMjemaKETemeke
4Bw.AmaniKiungaduaMwenegohaMEBukombe
5Bw.IbrahimWankangaMarwaMENyang’wale
6Bw.RodrickLazaroMpogoloMEChato
7Bw.ManzieOmarMangochieMEGeita
8Bi.DarryIbrahimRwegasiraKEKaragwe


9Lt.Col.BenedictKulikilaKitengaMEKyerwa
10ConstantineJohnKanyasuMENgara
11PazaTusamaleMwamulimaMEMpanda
12PeterToimaKiroyaMEKakonko
13HadijaRashidNyemboKEUvinza
14Dkt.CharlesO.MlingwaMESiha
15ShaibuIssaNdemangaMEMwanga
16HermanClementKapufiMESame
17EphraimMfingiMbagaMELiwale
18AbdallahHamisUlegaMEKilwa
19JoshuaChachaMirumbeMEBunda
20DeodatusLucasKinawiroMEChunya
21RosemaryStakiSenyamuleKEIleje
22GulamhuseinKifuShabanMEMbarali
23ChristopherEdwardMagalaMENewala
24BarakaMbikeKonisagaMENyamagana
25SarahPhilipDumbaKENjombe
26HanifaMahmoudKaramagiKEGairo
27HalimaMezaKihembaKEKibaha
28NurdinBabuMERufiji
29MathewSarjaSedoyekaMESumbawanga
30IddHassanKimantaMENkasi
31ChandeBakariNalichoMETunduru
32BibiSenyiSimonNgagaKEMbinga
33WilsonElishaNkambakuMEKishapu


34BensonMwailugulaMpesyaMEKahama
35PaulChrisantMzindakayaMEBusega
36GeorginaEliasBundalaKEItilima
37FatumaHassanToufiqKEManyoni
38Lt.EdwardOleLengaMEMkalama
39HanifaMohamedSelenguKESikonge
40SulemanOmarKumchayaMETabora
41MboniMwanahamisMgazaKEMkinga
42SelemanSalumLiwowaMEKilindi

Mabadiliko haya yameanza tarehe 18.02.2015 na ninawatakia woteutendaji kazi mahiri.


Mizengo K. P. Pinda
18.02.2015WAZIRI MKUU
chanzo:jamvi la habari
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: