MWALIMU AMPA MIMBA MTOTO WAKE WA KUMZAA AMBAYE NI MWANAFUNZI
Kesi
ya mzazi kuwa na uhusiano na mtoto wake wa kumzaa sio kitu kipya
kukisikia.. hii haikuwa bahati mbaya, baba kaingia kwenye uhusiano na
mtoto wake wa kike bila hata yeye mwenyewe kujua.. kilichofuatia ikawa
ni ishu ya ujauzito.
Story
imetokea Afrika Kusini, mwalimu mmoja amejikuta kwenye wakati mgumu
baada ya kugundua kuwa msichana aliyempa ujauzito ni mtoto wake kabisa
wa kumzaa.
Alfred Mokoena alianzisha uhusiano na mwanafunzi huyo mpaka akapata ujauzito bila kujua kuwa ni mtoto wake wa kumzaa.
Mokoena anasema
hakujua kama mtoto huyo ni wa kwake, aliachana na mke wake wakati mtoto
huyo akiwa bado mdogo sana, hivyo malezi yote amekua kwa kulelewa na
baba mwingine.
Hata
hivyo binti huyo naye alisema hakuwa anafahamu kama huyo ni baba yake
mzazi hadi walipokwenda kupima DNA na kinachomuumiza kwa sasa ni jinsi
atakavyomwambia mwanae kwamba mzee huyo sio baba yake ila babu yake !!
0 comments: