Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka
28 Aprili 2015 Imebadilishwa mwisho saa 21:37 GMT
Shilingi
ya Tanzania imeendelea kushuka hadi kufikia anguko la asilimia 20 dhidi
ya dola ya Kimarekani,hali inayotajwa kuwa si tu inaathiri mitaji ya
uwekezaji bali pia kipato cha mtu binafsi. Kwa sasa ubadilishaji wa
shilingi ya Tanzania kwa dola ya Kimarekani imefikia shilingi elfu mbili
kwa dola moja na kuathiri mwenendo wa kiuchumi.
0 comments: