Carlos Tevez huyooooo kwao..!

...................


 

mshambuliaji nguli wa argentina ambaye amewahi kuvichezea vilabu mbalimbali mashuhuri dunianiamerejea kwao kuendeleza kipaji katika klabu yake aliyoanzia kucheza mpira ya Boca Juniors,akitokea juventus ya Italia. kukamilika kwa dili hilo kumetangazwa na klabu ya boca juniors huku pengo lake pale juventus likizibwa na mchezaji Mario Mandzukic kutoka atletico

http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: