KUTOKA MANCHESTER
Timu ya manchester united imetoa tamko kuwa haitamwachia golikipa wake namba moja kwenda Real Madrid bila ya malipo yatakayo vunja record ya uhamisho wa magolikipa inayoshikiliwa na Gianluigi Buffon alipotokea parma kwenda Juve
kwa habari zaidi soma
http://www.manchestereveningnews.co.uk/sport/football/football-news/manchester-united-demand-record-goalkeeper-9529342
0 comments: