CHELSEA YAONYESHA JEURI YA PESAAA........SOMA HAPA
Timu ya soka ya chelsea imetoa offer nono ya euro £11m na kuipiku offer ya timu ya Tottenham ya kuomba kutumia uwanja wa Wembley kwa muda wa miaka 3 kuanzia 2017 hadi 2020 wakati wakiwa wanajenga uwanja mpya utakao kuwa unachukua mashabiki 60000. Ofa waliyotoa chelsea ni euro 3m zaidi ya ile iliyotolewa na Tottenham ambao nao wanataka kufanya ukarabati wa uwanja wao
Chelsea wana sharti moja la kimatumizi la uwanja huo la kuingiza mashabiki 50000 tu kwa kila mechi
plan ya uwanja mpya wa chelsea
bosi wa chelsea mtoa pesa
uwanja wa Tottenham
source:daily mail

0 comments: