SUGU ASHINDA AWAGALAGAZA WENZIE CHADEMA MBEYA MJINI.
Wajumbe wa mkutano mkuuu Chadema Mbeya mjini wakitoka nje kusubiri matokeo baada ya kupiga kura ya maoni ili kumpata mgombea mmoja atakayekiwakilisha chama kwenye uchaguzi mkuu kwa nafasi ya Ubunge Jimbo la Mbeya mjini.Wagombea walikuwa sita.Hapa ni katika ukumbi wa Nyerere uliopo katika Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya(MUST).
Jumla wapiga kura walikuwa 455.Kura zilizoharibika ni 5.Matokeo kamili yalikuwa hivi.
Joseph Mbilinyi(Sugu)- kura 356
Joyce Mashine- kura 43
Tito Mwanjala- kura 18
Lazaro Mwankemwa-kura 15
0 comments: