WAJUE WAGOMBEA UBUNGE CCM MAJIMBO YA MKOA WA MBEYA NA SONGWE

...................



Mbeya mjini wako 16 ambao ni Amani Kajuna,Fatuma Kasenga,Shadrack Makombe,Stephen Makwenda,Michael Mbuza,Ibrahim Mbembela,Eliudi Mwaiteleke,Samwel Mwaisumbe,Ulimboka Mwakilili,James Mwampondele,Charles Mwakipesile,Nwaka Mwakisu,Aggrey Mwasanguti,Jackson Numbi,Shitambala Sambwee na Solomoni Swilla.

Mbeya vijijini wako 12 nao ni Anderson Kabenga,Asifiwe Ngao,Boniface Mwalyego,Dickson Simkwembe,Gordon Kalulunga,Kassim Mzumbwe,Japhet Mwanasenga,Luckson Mwanjale,Oran Njeza,Priver Mwakumana,Samson Nswila na Vito Mbwete.

Mbarali wamechukua 11 ambao ni Modestus Kilufi,Michael Kalenge,Harun Mullah,Barton Kyaka,Geofray Mwangulumbi,Idd Mtingijola,Ibrahim Mwakabwanga,Yusuph Mwaipalu,Hanji Godigodi,Gift Sefu na Christopher Uhagile.

Rungwe jimbo la Rungwe wamechukua saba nao ni mhandisiKigula Mwambene,Saul Amon,Frank Magomba,Obadia Ndagali,Zacharia Mwansasu,Joel Mwalula na Richard Kasesela wakati jimbo la Busokelo wamechukua 12 nao ni Issa Mwakaendo,Ezekiel Mwakyambo,Juma Kaponda,Lusubilo Mwakabibi,Dk.Stephen Mwakajumilo,Alley Mwakibolwa,Aden Mwakyonde,Suma Mwakasitu,Prince Mwaihojo,Lutengano Mwalwiba,Gwakisa Mwakasendo na Atupele Mwakibete.

Ileje wamechukua sita nao ni Aliko Kibona,Godfray Kasekenya,Janeth Mbene,Lyson Mnkondya,Willium Ndile na Marcelin Ndibwa.

Wilayani Mbozi jimbo la Mbozi wamechukua saba nao ni Godfray Zambi,Charles Chenza,Frank Mdolo,George Mwanisongole,Mtela Mwampamba,Ngwalanje Emmanuel na Pasa Mwamlima wakati jimbo la Vwawa wamechukua sita nao ni Dismas Haonga,George Mwashitete,Japhet Hansunga,John Ntenga,Stanslaus Nsojo na Tito Nduka.

Momba jimbo la Momba wamechukua 12 ambao ni Frank Sikalengo,Dk.Lucas Siame,Hezron Sikapizye,Eliachim Simpasa,Godwin Simwimba,Tung’ombe SikaluzweWeston Simwelu,Edward Kakwale,Leonard Simbeya,Britho Simkwai,Nicholaus Siwinga na Elisha Siame.

Jimbo la Tunduma wamechukua walichukua sita nao ni Alfonce Siwale,Frank Sichalwe,Agripa Senka,Shadrack Sanga,Mchungaji Adam Simfukwe na Edson Mwakagile.

Wilayani Chunya jimbo la Lupa wamechukua saba nao ni Peter Mwambalaswa,Haruna Mwananta,Mathew Gati,Saul Mwaisenye,Geofray Mwakenja,Asha Ntambi na Polycap Ntapanya wakati jimbo la Songwe wamechukua watano yaani Philip Mulugo,Noel Nkoma,Gilbert Mahenge na Reginard Msomba.

Jimbo la Kyela wamechukua watu 10 nao ni Harrison Mwakyembe,John Mwaipopo,Leonard Mwaikambo,Gwakisa Mwandembwa,Vicent Mwamakimbula,George Mwakalinga,Benjamin Mwakasyeghe,Gabriel Kipija,Asajile Mwambambale na Ackim Mwakapiso.

Wagombea waliojitokeza kuchukua fomu viti maalum UWT mkoa ni Dk.Mary Mwanjelwa,Suma Fyandomo,Tusubilege Jengela,Neema Kasambala,Maryprisca Mahundi,Priscilla Mbwaga,Mary Mwilo,Shiza Mwakatundu,Rhoda Mwamnyange,Joyce Mwang’onda na Cynthia Ngoye wakati waliochukua fomu za viti maalumu walemavu mkoa wa Mbeya ni Devota Mutunyorengo na Lupi Maswanya.

Wagombea ubunge waliojitokeza kuchukua fomu viti maalumu UWT mkoa mpya wa Songwe ni Georcoina Chaula,Zaitun Sembo,Justina Kasunga,Juliana Shonza,Mesia Swela,Oliva Kibona,Neema Mwandabila,Isabela Mbaya,Neema Kibona,Vick Kibona,Claudia Kitta,Stephania Luhanga na Aida Sanatu.

Waliochukua fomu za Ubunge viti maalumu UVCCM mkoa wa Mbeya ni Chikulupi Kasaka na Kissa Kasongwa wakati mkoa wa Songwe ni Mary Mwanisongole pekee.

Wagombea ubunge waliojitokeza kuchukua fomu viti maalumu wazazi mkoa wa Mbeya ni Fatuma Kasenga,Gulzar Abdul na Mary Simon 
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: