UMITU CUP: MIGOMBANI V/S THE GREEN FC PACHIMBIKA

...................
UMITU CUP
Ligi ya umitu imeendelea hapa mji wa Tunduma siku ya leo kwa mechi kali kati yaTHE GREEN FC NA MIGOMBANI. mechi hiyo kali ya kukata kwa mundu ilishuhudia timu hizo zikimaliza dakika 90 bila kupata mbabe.timu zote zilitoka na bao moja ambayo yalifungwa katika vipindi vyote viwili,moja mwishoni mwa kipindi cah kwanza na jingine mwanzoni mwa kipindi cha pili

Kiujumla mchezo ulikuwa mkali sana kwa pande zote mbili kuonyesha kandanda safi japo ubabe mchezoni haukosekani
hapo chini panaonyesha vikosi na wafungaji





WAFUNGAJI
THE GREEN FC MIGOMBANI
Mateni     dk 65 Denis dk 40
TIMU ZILIVYOKUWA
THE GREEN FC MIGOMBANI
SADAM SADICK
JOSEPH HASHIM
AKILIMALI PAILOT
MATENI RUGADE
JOSEPH MTAMBO AMILIKE
DANIEL GUDU
BRYAN   C FRANK
ASHEL ISAYA
ABDI VENANCE
JOHN FRANK
BARAKA DUDU




SUB SUB
RAFAEL ZACKY
YUSUPH VISE
AMISO HASHIM
OSCAR NEGO
ZUBERI ANTONY

AUGUSTINO

PUNTE   
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: