HATARIIIIIIIII.......! BIBI ABAKWA KWA ZAMU AKITUHUMIWA MCHAWI
<<JIUNGE HAPA KWA KUGONGA LIKE YAKO FB>> |
mwanamke
aliyejulikana kwa jina Mary Mbaga(70) anayeishi Kinondoni Shamba,jiji
Dar-es-saaam amepata kipigo kikali kwa wananchi wakidai amekula nyama ya
mtoto aliyekuwa amefariki dunia mwenye umri wa mwaka mmoja.
Baada ya kumpiga
mtaani wakampeleka kwenye uwanja wa mpira uliopo karibu na tukio
nakuanza kumbaka kwa zamu mpaka 12:00asubuhi aliokolewa na polisi wa
doria huku mwili wake ukiwa umelowa damu!!!
SWALI KWA WADAU JE NI HAKI KWA HUYU BIBI KUBAKWA
KWA ZAMU NA VIJANA HAO PIA NA KIPIGO JUU?JE NAO VIJANA WALIVYOKUWA
WANAPEANA ZAMU YA UBAKAJI WALITUMIA KINGA? WADAU MAONI YENU PLEASE DUNIA
KUELIMISHANA!!!
0 comments: