Jose Mourinho achanganyikiwa ndani ya Chelsea.. Unajua nini Kimetokea? Soma hapa
...................
Kocha mkuu wa chelsea inaonekana kama atapoteza mwelekeo wake na timu, kocha huyu amekuwa na kauli ambazo tafsiri yake ni kukiri udhaifu na dalili za kuachia ubingwa msimu huu,.
Baadhi ya kauli zake
1. timu yangu itakwa fiti september sababu ya mazoezi magumu wakati wa kujiandaa na msimu
2. baada ya kichapo alitamka kuwa "it was fake result"
3. jana tena baada ya kichapo kingine anatishia kuwa atawapiga benchi mastaa wake watatu kwa kucheza chini ya kiwango
0 comments: