KAMA HUJUI BASI UTAFITI UNAONESHA HUU NDO UMRI WA MABINTI WANAONGOZA KUWA NA WANAUME WENGI HATARI TUPU

...................



Wanawake wenye kati ya umri wa miaka 23 mpaka 33 wanaongoza kuwa na wanaume wengi kuliko wenye umri chini ya huo au zaidi ya huo.

Sababu kubwa ni kwamba wakiwa katika umri huo wanakuwa wanahitaji mwanaume wa kumuoa wakati huo huo kuwa na mwanaume mmoja pekee ni risk zaidi kwao kwakuwa wanaume hawaaminiki hivyo akiwa nae mmoja huyu mmoja atakapomzingua inakuwa imekula kwake hivyo lazima awe na alternative.

Kwa mantiki hiyo wanawake wengi wa umri huo wanakuwa na wanaume atleast wawili, mmoja akizungua anaendelea na aliyebaki huku akiendelea kutafuta wa kuziba pengo.

Wanawake wa chini ya umri wa 23 wengi hawafikirii saana kuolewa, wenyewe wanahitaji mapenzi tu na wengine pesa huku walio na umri zaidi ya miaka 33 wanakuwa wameshakata tamaa ya kuolewa
http://3.bp.blogspot.com/-e0QpO-QtZzE/U5DWDUZasXI/AAAAAAAABWg/QlFF97gwNdc/s1600/RAHA+GIF.gif
GIVE YOUR OPINIONS HERE

0 comments: