SHINDANO LA KULA UGALI LILIKUWA HIVI
Ikiwa ni mwendelezo wa matukio katika siku ya fainali ya michezo shuleni hapa, tukio lililofuata ni tukio/ shindano la kula ugali. leo hali ya hewa si shwari ndani ya mji wa Tunduma kamvua kwa kiasi kamekwamisha mambo kunoga zaidi. Tazama picha za tukio la shindano la kula ugali
Ugali tayari kwa shindanoMshindi wa shindano
0 comments: